Wakazi "Naenda Kuuteka Mwaka Huu Hakuna Msanii wa WCB Atakae Nifikia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakazi "Naenda Kuuteka Mwaka Huu Hakuna Msanii wa WCB Atakae Nifikia"

Rapa @wakazi ambaye bado yupo nchini Marekani, mwishoni mwa wikiendi alihudhuria show ya Mbosso huko Houston na aliweza kukutana na @babutale ambaye ni mmoja wa mameneja wa WCB.

Wakazi ambaye yupo mbioni kuachia album yake mpya iitwayo #BEBERU amtahadharisha Tale kwamba mwaka huu anauteka wala hakuna msanii wake (WCB) atakae fikia kile anachoenda kufanya mwaka huu.

Pia amemtaja Tale kwamba kesho hajui atavaa kofia gani kwani kwenye show hiyo ya Mbosso alikuwa ndio DJ.

"Huyu jamaa acheni tu apewe udokta, jana alikuwa DJ wa shughuli 🤣😄 Hatujui kesho atavaa kofia gani. Watu Wa Mlogolo kweli Mbunge mmepata… Lol. Hapa nilikuwa nampasha juu ya Ujio wa BEBERU" - ameeleza Wakazi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad