Huyu Ndiye Mrithi wa mali za Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Staa wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Diamond Platnumz kwa wikiendi iliyopita alitumia muda wake mwingi na mtoto wake wa mwisho, Naseeb Junior.


Diamond alionekana hadharani na mtoto huyo wake na Tanasha Donna kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu siku ya Jumamosi walipohudhuria hafla ya kumtambulisha mtoto wa Haji Manara.


Hapo jana Diamond alichapisha picha zake na mwanawe ndani ya gari lake la kifahari aina ya Rolls Royce. Wawili hao walivalia kanzu nyeusi zinazofanana na walionekana kuwa na muungano mzuri. Hadi sasa Naseeb Junior anatabiriwa kuwa mrithi anayependekezwa wa mwimbaji huyo tajiri Tanzania. Mama yake, Sanura Kassim almaarufu Mama Dangote alishaweka wazi hilo.


Mwezi Desemba, Mama Dangote aliweka wazi kuwa Naseeb ndiye mrithi rasmi wa Diamond katika biashara ya Wasafi.


Mama Dangote ya Diamond akiwa na mwanawe huyo na kusema kuwa amemkabidhi kijiti cha kuwa mrithi wake.


Mama yake Naseeb Jr, Tanasha Donna na Diamond. “Mr. Tom kaka mdogo leo namkabidhi kijiti cha wasafi, Mimi mwenyewe,” alitangaza hilo Mama Dangote.


Utakumbuka Diamond ana watoto watano hadi sasa, wawili kazaa na Zari The Bosslady (Tiffah na Nillan), mmoja na Hamisa Mobetto (Dylan) na mwingine na Tanasha Donna (Naseeb Jr)

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad