Mke wa Dkt. Mwaka: Talaka itanifata niliko nimehama ile Nyumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Sakata la ndoa ya Dk Juma Mwaka bado kizungumkuti baada ya mkewe Queen Masanja kudai hadi sasa bado hajapewa talaka.


Sakata hilo lilichukuwa sura mpya baada ya kikao cha Kamati ya Masheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam chini ya uenyekiti wa aliyekuwa sheikh wa mkoa, Alhadi Mussa Salum kuketi kwa dharura na kuridhia maombi ya Queen kutaka apewe talaka.


Hata hivyo, uamuzi huo ulipingwa na Baraza la Ulamaa Januari 27, 2023 ikieleza uamuzi huo ni batili.


Akizungumza leo Machi 20, 2023 jijini Dar es Salaam Queen amesema kuwa hadi sasa bado hajapewa huku akieleza kuwa mchakato wake unaendelea.


“Kwa upande wa talaka, bado sijapata talaka lakini ipo katika mchakato na ninaamini itanifata niliko baada ya kuhama ile nyumba,” alisema.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad