Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (#CHADEMA), Godbless Lema amesema, "Ukiona Dereva Bodaboda wameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka. Hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini kama ya Bodaboda"
Akizungumza katika eneo la Dampo Jijini #Mwanza kwenye mkutano wa hadhara ameongeza, "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa. Mtaumwa Vifua, Viuno, Migongo na wengine mtakuwa Vipofu kutokana na upepo"
0 Comments