Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa Tahadhari Mvua Kubwa Kunyesha Leo Tarehe 21 March 2023


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa kesho Jumanne March 21,2023 katika maeneo mengi ya Mikoa ya Dar es salaam, Pwani (ikihusisha Visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara.

Athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya Makazi kujaa maji pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi “Tafadhali zingatia na ujiandae”
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad