Mwenye Nyumba Amfukuza Mpangaji kwa Kujihususha na Mapenzi ya Jinsia moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenye Nyumba Amfukuza Mpangaji kwa Kujihususha na Mapenzi ya Jinsia moja


Zikiwa zimepita chache baada ya Bunge la Uganda kuamuru uchunguzi ufanyike kuhusiana na madai ya kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsi moja mashuleni, mmiliki wa nyumba jijini Kampala amemfukuza mpangaji wake kutokana na tuhuma za kujihusisha na vitendo hivyo.


Hatua ya bunge ilitokana na ujumbe wa video uliokuwa ukizunguka katika mitandao ya kijamii mwezi uliopita ukimwonesha mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina Eric Ndawula ambaye ni mkazi wa Kampala kuwa shoga.

eo hiyo iliyowekwa kwenye mtandao na mtu asiyejulikana, na kisha kumpa notisi ya kumfukuza kwenye nyumba akisema kuwa nyumba yake haipangishwi kwa mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsi moja.


“Mimi kwa sasa nimekuwa tishio katika jamii hususani kwa watoto wanaonizunguka kwa sababu wataniiga na kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja,” alisema Ndawula huku akijutia hali hiyo iliyosababisha kufukuzwa katika nyumba aliyopanga.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad