Rais wa Zambia Akataa Kutumia Mwamvuli Akikagua Gwaride wakati wa Mvua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema alikataa kutumia mwavuli wakati wa mvua katika hafla ya Kitaifa ya kusimamia gwaride la kuhitimu au kufaulu lililowekwa na Kikosi Maalum cha Jeshi la Zambia (makomando) huko Mbala.

Watu wa usalama walipojaribu kumpatia mwamvuli wa kumkinga na mvua kali alipokuwa akikagua gwaride la heshima na kupiga saluti, alikataa kuutumia kwa kuwa askari waliokuwa kwenye gwaride hawakuwa na miavuli wenyewe.

Alisikika akisema “Askari waliosimama kwenye mvua pia ni binadamu kama mimi, kulowekwa na mvua hakujawahi kuua mtu. Tunapaswa kukabiliana na yaliyo mbele yetu bila woga wala upendeleo."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad