Rayvanny Ameweka Wazi Hana Tatizo na Harmonize "Ni Kaka na Familia"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rayvanny Ameweka Wazi Hana Tatizo na Harmonize "Ni Kaka na Familia"


Rayvanny ameweka wazi hana tatizo na Harmonize ni Kaka yake na familia, pia hana tatizo na mtu yeyote. Amesema anafanya muziki wake katika njia nzuri, hana ugomvi na mtu.


Boss huyo wa NLM ameeleza hayo alipotua nchini Kenya Alfajiri ya leo ambapo alizungumza na Waandishi wa Habari toka vyombo mbalimbali vya nchini humo.


Hata hivyo Rayvanny amegoma kuzungumzia tetesi za kutoka na mwimbaji Feza Kessy ambaye wameshaonekana pamoja mara kadhaa, lakini pia ameitaja safari yake hiyo Kenya ni kwa ajili ya matembezi ya hapa na pale, na kuna msanii mkubwa ambaye ameenda kukutana nae.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad