Ushindi Mkubwa na Kasino ya Mtandaoni | Expanse Kasino

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 
Je unacheza michezo ya kasino ya matandaoni mara ngapi? Na lini umehsinda pesa kubwa? Usijali Meridianbet wamekujia na kitu ukipendacho nayo ni Promosheni kabambe ya Expanse Kasino ambao inatoa TZS 800,000/= kwa dau dogo sana.
 
Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
 
Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii
 
Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoniya Meridianbet:
 
• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.
 
Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya  www.meridianbet.co.tz
 
•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
 
•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
 
• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino katika viwango vifuatavyo:
 
    •1. Nafasi ya Kwanza    250,000 TZS
    •2. Nafasi ya Pili            200,000 TZS
    •3. Nafasi ya Tatu                 150,000 TZS
    •4. Nafasi ya nne          100,000 TZS
    •5. Nafasi ya Tano        100,000 TZS
 
• Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.
 
•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.
 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad