Alichoandika Mange Kimambi Kuhusu Kifo cha Lemutuz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

mange Vs Lemutuz

Ameandika Mange Kimambi Haya:

Jamani nilikuwa nimelala, mwenzenu nikilala naweka simu silent. Nmekuta missed call kama zote.

I think ni kama mwezi mmoja sasa toka nimpe Le Mutuz ujumbe humu kuwa ajiitaarishe kukutana na marehemu wooote aliokuwa akiwatukana mitusi mizito , kuanzia baba yangu mpaka dada yake wa damu, Dr. Mwele. Nilikuwa very specific nilimwambia kabisa Lemutuz this time utatoka hospitali ila huna muda mrefu unaondoka, nikwambia kabisa abadili maisha yake na amrudie muumba wake aanze kusali sababu anaondoka anytime. I think wengi mlidhani niliandika vile kwa sababu ya ugomvi wetu or something hapana niliandika sababu nilipewa inside information nzima ya condition ya moyo wake na afya yake as a whole na nilihakikishiwa hana muda so niliandika kitu ambacho nilikuwa sure nacho by 100%

Atakae niona nna roho ngumu au mbaya kazi kwako ila kumbuka huyu mtu alikuwa ananitukania marehemu baba yangu, pamoja na marehemu mama yangu, Dr. Mwele ambae kumbuka ni dada yake wa damu. Pale ndo nilipomtoa Le Mutuz points zote. Kumtukana baba yangu na kumpakazia mauwongo, mtu anaweza kumwelewa akasema ni sababu ya vita na mimi na pia hakuwa na ukaribu na baba yangu ila kumtukana Dr. Mwele je?? That was just plain evil. Hivi mtu unamtukanaje ndugu yako ambae ni marehemu kiasi kile? Inabidi uwe na roho mbaya mnoooo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad