Conboi Afunguka "Wazazi Wangu Wote Walifariki Kwa Ukimwi, Nilizaliwa Mama Akiwa Muathirika"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapa Conboi Cannabino (@iamconboi) leo kwenye XXL Clouds FM ametuweka wazi kuwa Wazazi wake wote walifariki na ugonjwa wa UKIMWI, na hata yeye alizaliwa kipindi Mama yake akiwa muathirika. Jamii ilikuwa ikimtazama kwa Jicho tofauti ikiwemo kumtenga wakihisi ni muathirika wa virusi vya UKIMWI. Conboi ameithibitishia XXL kuwa ni salama na hana maradhi hayo.

Aidha amesema makuzi yake yalikuwa ya kujifunza mwenyewe kwani hakukuwa na mtu ambaye anamtazama kama Kiongozi, Mama yake mkubwa alifariki lakini pia Dada yake alifariki akiwa muathirika wa dawa za Kulevya na ugonjwa wa UKIMWI.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad