Halima Mdee Afunguka Kuhusu Mahusiano yake Kimapenzi, Mtoto na Mengine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Halima Mdee Afunguka Kuhusu Mahusiano yake Kimapenzi, Mtoto na Mengine



Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee kupitia Good Morning Ya Wasafi FM asubuhi hii amefunguka kuhusu Maisha yake Binafsi na kusema kwa Sasa yupo Single (hana mahusiano wala mtoto Kwasababu bado hajajaliwa kupata Mtoto

"Wakati nimemaliza masomo na kuanza kazi sikutaka kabisa kuwa mwanasiasa kwasababu nilikua nikiwaangalia wanasiasa hawaleweki na ni wajanja wajanja sana," - Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee anaendelea kufunguka kupitia #GoodMornig ya @wasafifm muda huu.

 Kwasasa nipo Likizo ( nje ya Operation za Chama ) kutokana na Kesi . Lakini nazimiss sana harakati, unachaaje Kuzimiss Harakati Wakati Umekullia katika Hayo mambo “ - Mhe . Halima Mdee ( Mbunge Viti Maalumu )

 Mbowe ana Mchango mkubwa sana Kwangu Kisiasa . Kama nilivyosema mimi na ZITTO tulikua wadogo sana yeye akatuona akatushika Mkono " - Mhe. Halima Mdee ( Mbunge Viti Maalumu - CHADEMA)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad