AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msanii Jay Melody ameibuka kupitia WhatsApp Status yake na kuwaomba radhi wasanii wenzake wanaotamani kufanya nae kazi.
Jay ameeleza kuwa kuna muda anapitia wakati mgumu kufanya maamuzi ila ukweli ni kwamba hawezi kufanya kazi na kila msanii uku akimaliza kwa kuwapa taarifa wasanii wenzake wanaomuomba kufanya nae collabo kuwa akisema hatoweza wamuelewe na akisema atafanya wampe muda.
Soma hapa chini alichoandika Jay Melody;
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK