Man City waanza kudondosha pointi EPL

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Man City waanza kudondosha pointi EPL

Mabingwa mara tatu mfululizo, Manchester City usiku wa jana wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussex.

Phil Foden alianza kuifungia Manchester City dakika ya 25, kabla ya Julio Enciso kuisawazishia Brighton & Hove Albion dakika ya 38.

Kwa matokeo hayo, Manchester City inafikisha pointi 89 pale juu sasa ikiizidi pointi nane Arsenal baada ya wote kucheza mechi 37, wakati Brighton imefikisha pointi 62 za mechi 37 pia nafasi ya sita

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad