VIINGILIO Yanga vs USM Alger Leo May 28 2023

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

VIINGILIO Yanga vs USM Alger Leo May 28 2023

Katika Mkutano huo Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amevitangaza viingilio vya mchezo huo dhidi ya USM Alger huku akiwataka Mashabiki na Wanachama wa Yanga kuhakikisha wananunua tiketi zote ili kuujaza Uwanja wa Benjamin Mkapa.


“Tutaanza na tiketi za Royal ambazo ndani yake kumekuwa na package tofauti kama Usafiri wa kwenda Uwanjani, Chakula wakati wa mchezo, jezi maalum za Ubingwa wa Ligi kuu ambapo kiingilio ni Tsh 200,000/-”


Viingilio vingine Ali Kamwe ametaja kuwa ni Tsh 100,000 kwa VIP A, Tsh 30,000 kwa VIP B, Tsh 15,000 kwa VIP C na Tsh 5,000 kwa Mzunguuko.


Ali Kamwe amefafanua kuwa wale watakaokata tiketi za VIP A watakuwa na fursa ya kupata Chakula uwanjani kama ilivyo kwa Royal.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad