Aiba Milioni 21/- na kuzichimbia chini ya ardhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jeshi la Polisi Mkoa wa Mnyara, linamshikilia Gift Fredrick (22) kwa tuhuma za wizi wa Sh. Milioni 21 za mmoja wa wafanyabiashara wa mji mdogo wa Mirerani.

Aidha imeelezwa kuwa baada ya kuziiba fedha hizo mtuhumiwa huyo anadaiwa kuzichimbia chini ya ardhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo la polisi imeeleza kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa Juni 18, 2023 katika mtaa wa Kangaroo akiwa na fedha kiasi cha Sh. Milioni 19.7 alizokuwa amezichimbia chini licha ya kwamba kiasi halisi alichoiba ni milioni 21.

Awali jeshi hilo liliokoa kiasi cha Sh. Milioni 20 za mfanyabiashara mjini Babati kisha kuokoa tena Sh. Milioni 47 za mfanyabiashara mwingine mji mdogo wa Mirerani.

Written by Janeth Jovin

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad