Chukua Hii Hapa Mtu Wangu, Jonas Mkude Kutua Yanga Baada ya Kupewa Thank You na Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chukua Hii Hapa Mtu Wangu, Jonas Mkude Kutua Yanga Baada ya Kupewa Thank You na Simba


 Aliyekuwa Kiungo Mkabaji wa Miamba ya soka nchini #SimbaSC Jonas Mkude amehusishwa na Klabu ya Yanga kipindi hiki cha dirisha la usajili Ligi Kuu Tanzania Bara.


Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliopewa Thank You ndani ya Simba lakini hata hivyo mashabakibi wa soka walipokea kwa tofauti wakiamini alistahili kuagwa kwa heshima Msimbazi kutokana na muda aliyoitumikia timu hiyo.


Inadaiwa Jonas Mkude ameandaliwa zaidi ya Milioni 300 Singida Fountain Gate FC ili kujiunga na Bernard Morrison lakini Mchezaji huyo ameikataa Ofa hiyo.


Kukataa ofa ya mamilioni kutoka Singida kuna chochea tetesi za Jonas Mkude kutua Jangwani kwa Wananchi

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad