Baba Jela Kwa Kumuambukiza Virusi vya Ukimwi Mwanae wa kambo Kwa Kumchoma Sindano ya Damu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baba Jela Kwa Kumuambukiza Virusi vya Ukimwi Mwanae wa kambo Kwa Kumchoma Sindano ya Damu

Baba atupwa jela kwa kumuambukiza makusudi virusi vya Ukimwi mwanae wa kambo

Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Msirari Muhere (60) toka mkoani Mara, amehukumiwa miaka 7 jela baada ya kuthibitika alimdunga sindano ya damu yenye VVU mtoto (6) kwa nia ya kumpa maambukizi

Kwa mujibu wa taarifa, mwaka 2018 Muhere alioa mke wa pili ambaye alikuwa na watoto 3 alioamua kuishi nao pamoja na mama yao. Baadaye wanandoa hao waligombana, na kupelekea mwanamke kuwaacha watoto wake na baba huyo

Ushahidi umeonesha Muhere alichukua sindano na kunyonya damu kutoka kwa mtoto wa mke wake mkubwa ambaye alikuwa ameathirika, kisha kuanza kuwadunga watoto wawili wa mke mdogo. Uchunguzi umebaini kati ya hao watoto wawili, mmoja wa kiume ameambukizwa virusi vya Ukimwi

Taarifa zaidi zimedai Muhere na mke wake mkubwa ni waathirika wa VVU pia binti yao alizaliwa na ugonjwa huo. Baada ya kutofautiana na mke mdogo aliamua kumkomesha kwa kuwaambukiza watoto
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad