Haji Manara "Mpeni Mayele Kiatu Chake Kama Kanuni Zinavyosema"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa



Kama kanuni zetu zipo kimya juu ya hili automatic tunaenda kudeal na kanuni za FIFA au CAF, hope utata huu mtadeal nao kikubwa na kikanuni zaidi, ziwe zenu au za Wakubwa wa Switzerland na Cairo

By the way mwaka jana msemaji wa bodi ya ligi alitolea ufafanuzi wa kikanuni katika Scenario inayofanana na hii, Piteni humo Otherwise tuambiwe kanuni ilibadilishwa msimu huu🤪 na kama hazijabadilika mpeni haki yake anaestahili,,

Na Kama kanuni zilibadilika twanbieni kuliko kuacha mijadala yetu huku mitandaoni.

Nb/: Mkishindwa kabisa itendwe haki ya kikawaida, faida za kila mmoja wake juu ya magoli yao Kwa team zao, ubingwa au nafasi ya pili .


Mayele
Haji Manara


_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad