Harmonize Afanya Collabo na Staa Huyu Mkubwa Marekani...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize amekamilisha kolabo na Staa Mkubwa Marekani Rapa Shmurda wa huko nchini Marekani

Harmonize amethibitisha hilo kupitia Instastory yake kwa kuandika "Kondeboy x Bobby Shmurda, nimependa huu wimbo"

Na kwa upande wa Shmurda ame repost ujumbe huo wa Harmonize kwenye Instastory yake na kuongezea maneno haya "Imenibidi nirudi kwenye asili yangu"

Neni moja kwa konde boy

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad