Matokeo Taifa Stars Vs Niger , Taifa Star Yampiga Mtu Kimoko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Ushindi huo uliotokana na goli la SimonMsuva (69’) umeifanya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘#TaifaStars’ kufikisha pointi 7 katika Kundi F na kuendelea kubaki katika nafasi ya pili

Tanzania imeendelea kuweka matumaini ya kufuzu kucheza Fainali za Michuano ya Afrika (AFCON) Mwaka 2024 Nchini #IvoryCoast baada ya mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam

Algeria inaongoza kundi F ikiwa na pointi 12 na tayari imejihakikishia kufuzu, #Uganda ina pointi 4 na #Niger ina pointi 2. Mchezo wa Uganda na Algeria bado unaendelea

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad