Yanga Leo Wakijilipua Kuna Kushinda au Kupigwa Goli Nyingi Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Presha ya mechi iliisha kwenye mchezo wa kwanza na Yanga hawana cha kupoteza, Kocha [Nabi] anaweza kuamua kujilipua kwa sababu tayari alishapoteza mechi ya kwanza nyumbani.”

“Kwenye kujilipua kuna mambo mawili, jambo la kwanza ni kupata ushindi mnono, jambo la pili ni kufungwa magoli mengi kutokana na kujilipua.”

“Kwa hiyo mashabiki wa Yanga wakubali moja kati ya hayo, wakishinda magoli mengi ndio lengo lakini wakifungwa magoli mengi wajue ndio gharama za kujilipua kutafuta ushindi mkubwa.”

“Kwenye uhalisia ni kwamba, USM Alger wana mlima mdogo wa kupanda kwa sababu walishapata ushindi na kilichobaki ni kuulinda lakini Yanga wanalazimika kusawazisha matokeo halafu watafute ushindi.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad