Haji Manara "Yanga Hawawezi Kumzuia Fiston Mayele Asihame Timu"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Fiston Mayele

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameeleza kuwa timu hiyo haiwezi kumzuia Fiston Mayele kuondoka iwapo ikitokea klabu kubwa imeweka fedha ya kutosha kumsajili na yeye akaridhia.

"Yanga haiwezi kumzuia @mayelefiston kuondoka iwapo ikitokea Club imeweka mzigo wa kutosha na yeye mwenyewe akiridhia kutaka kuuzwa, muhimu ikitokea hivyo Washabiki lazma tuunge mkono maamuzi hayo.

"Yes, Football ipo hivyo na tusisahau football ya sasa ni biashara kamili kama kuuza ndizi au dhahabu tu." Ameandika Haji Manara kwenye Ukurasa wake wa Instagram.
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad