Mange Kimambi "Hii Kuiba Nyimbo za Wanigeria Ndio Maana Diamond Hayupo Tena Kwenye International Awards"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mange Kimambi "Hii Kuiba Nyimbo za Wanigeria Ndio Maana Diamond Hayupo Tena Kwenye International Awards"


Wa-Naigeria wametengenza listi ya nyimbo zao ambazo Diamond kawaibia, kasomeni comments za wanaigeria kwenye hiyo posti mpaka mtu unaona aibu kuwa mTanzania……. @mufasatundeednut

@juma_jux naamini haikuwa idea yako kuiba hii enjoy kwa Wanaigeria, I’m sure Dai ndo kakuingiza chaka……

By the way, kuna siku mwanamziki wa Nigeria atam sue Diamond, now wanampotezea coz nyimbo zake za wizi haziwa punguziii kitu kwenye market yao ila kuna siku ataingia cha kike atafikishwa mahakamani na kulipishwa mabilioni, tuko hapa.

@officialalikiba Endelea kujitunzia brand yako na heshma yako, your pen game is undefeated. Wanataka kushindana na wewe mpaka wanaiba kazi za watu. Aibuuuuu. Sasa unaifananishaje kazi ya wizi na kazi ya mtu kakaa chini na kuumiza kichwa? Unafananishaje enjoy na Sumu wakati enjoy ni sumu kwenye sheria ya hati miliki?

Kinachochekesha ni jinsi anavyojitutumua na hiyo enjoy na huku ameiba kazi ya watu, huyu dogo sio mzima .

Hii ya kuiba byimbo za wanaigeria ni moja ya sababu Diamond hayupo tena kwenye international awards, hawawezi ku nominate nyimbo ambayo imeibiwa. Kama hii enjoy itaishia Kidimbwi na kitaa Cheupe haiwezi kuchaguliwa popote sababu ya issue ya hati miliki.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad