Nakaaya Alia na Wanaume Mtoto Akikua Atanitafuta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanaume wengi wanatumia sababu mbalimbali ili kukwepa majukumu kama Baba kwa sababu wanaongea na wako proud wanasema Yule ni Mtoto wangu tu atanitafuta akikua. Sio kauli nzuri"

"Baada ya Ngoma ya Mr. Politician nilipotea kwa sababu kuna vitu vingi Sana vilitokea. Nilihama Dar es Salaam nikahamia Arusha na kujaribu vitu vingine. Arusha ni nyumbani. Nilipata ujauzito ikabidi nikubali hiyo kofia ya umama sasa. Kazi ya Sanaa inahitaji Sana muda na muda Wenyewe ni usiku na ukiwa mama ni ngumu kufanya hiyo kazi ya Muziki na hasa ukiwa ndio inaanza kulea na uzao wako wa kwanza"

"Kila mtu ana sababu yake na kupelekea kuwa Single Parent sidhani kama asilimia kubwa ya Wanawake wanataka wawe single parent lakini inatokea na bahati nzuri au mbaya Mimi ilinitokea mapema sana kwenye ujauzito wangu mwanzoni kwahiyo zile changamoto niliziona mwanzoni, nikakuwa nazo mpaka nikapona" @nakaayasumari, Msanii

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad