Rais Ruto Amuonya Uhuru Kenyatta Kuacha Kumfadhili Raila Odinga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


William Ruto ametuma ujumbe kwa Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta, akimtuhumu kumfadhili Raila Odinga kwa siri, Mtu ambaye anaratibu Maandamano ya kupinga Serikali, na yamesababisha vifo vya Watu kadhaa hivi karibuni


Amesema “Nataka nimwambie rafiki yangu Uhuru, hata wewe achana na huyu mzee (Odinga), acha kumpatia pesa ya kununua Watu wa Mungiki wachome #Nairobi. Wewe umekuwa Rais, tulikuunga mkono, usipoachana naye hata wewe tutakusafirisha na huyo kitendawili wako. Uhuru Kenyatta tulimsaidia akiwa Rais, sasa anapanga kuchoma Nairobi, imemkosea nini?”

Rais Ruto ameonya kuwa ingawa kufanya Maandamano ni Haki ya raia yeyote kama ilivyoainishwa katika #Katiba lakini uzito wa Vyombo vya Usalama na mfumo wa kisheria utawekwa kwa Odinga ikiwa umwagaji Damu zaidi utashuhudiwa katika Maandamano yanayoendelea
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad