Raya Awajibu Walioanza Kuikalia Kooni ndoa yake Kwamba Alilazimisha Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Raya awajibu walioanza kuikalia kooni ndoa yake kwa madai kwamba alilazimisha kuolewa na Barnaba

"Kwanza Barnaba kunioa sijaja kwenye maisha yake kwa bahati mbaya tulipitia changamoto nyingi sana, alivyoachana na mama watoto wake nilipambana nae sana, mwaka 2016 - 2017 nikaanza nae akiwa hana chochote nataka watu wafahamu

Nime-hustle na mwanaume wangu tumeanzia chini, Barnaba amekuja kwangu akiwa hana chochote yaani nimeanza nae akiwa hana chochote vyote aliacha kwa mama watoto wake Vitu vyote unavyomuona yuko navyo sasa hivi ni ameanza na mimi

Tumeanza moja nilipitia wakati mgumu sana kwa sababu mwenzangu alishazoea maisha ya familia kwa hiyo alikuwa na strees nyingi sana Lakini nikajitahidi kama mwanamke nilisimama kama mwanamke mpaka leo vile mnavyo muona” - Amesema Raya akihojiwa na chombo kimoja cha habari

Kwa upande wa Mama Kimbo ambaye ni mama yake Raya nae amewataka watu waache kuanza kuichokonoa ndoa ya mwanae ikiwa ni mapema mno
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad