Khaligraph: Kuna nyimbo 5000 Bongo za kunishambulia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Khaligraph: Kuna nyimbo 5000 Bongo za kunishambulia

 Khaligraph: Kuna nyimbo 5000 Bongo za kunishambulia

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Rapa kutoka nchini Kenya, Brian Ouko Omollo aka Khaligraph Jones ameandika ujumbe baada ya kuona nyimbo nyingi kutoka Tanzania zimetoka zikimsema.


"Ripoti napata ni kwamba pale Bongo kuna nyimbo zaidi ya 5,000 zinazomtusi OG na zingine 10,000 zipo kwenye studio zinapangwa kutolewa wiki ijayo.


"Pale kwa trending Tanzania tayari kuna nyimbo zaidi ya kumi za ndugu Omollo, Hip Hop kaamka vile yapaswa, The OG has been Respected," amesema Khaligraph.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad