Akiba fedha za Kigeni: BOT kununua Tani Sita za Dhahabu Kunusuru Fedha za Kigeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiba fedha za Kigeni: BoT kununua tani sita za Dhahabu


Naibu Gavana wa BoT, Dkt. Yamungu Kayandabila amesema Benki Kuu ya Tanzania – BoT imejipanga kununua tani sita za Dhahabu kwa mwaka wa fedha 2023/24 kwa ajili ya kuweka akiba katika mfumo wa fedha za kigeni.


Dkt. Kayandabila ameyasema hayo wakati wa semina kuhusu fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani katika sekta ya Madini mjini Geita na kuongeza kuwa wameanza kutekeleza utaratibu huo baada Bodi ya Wakurugenzi kutoa maelekezo ya kununua dhahabu.


Naibu Gavana wa BoT, Dkt. Yamungu Kayandabila Akizungumza wakati wa Semina ya fursa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani Sekta ya Madini.

Amesema, “utaratibu wa kununua dhahabu na

kuihifadhi katika mfumo wa fedha za kigeni siyo mpya kwani uliwai kutumika mwaka 1990 na tunaifadhi fedha za kigeni kupitia dhahabu kwa kuzingatia sheria katika utekelezaji wa majukumu yetu.”


Kwa upande wake Meneja Msaidizi, Upatikanaji na Usimamizi wa akiba ya Fedha za kigeni BoT, Dkt. Anna Lyimo, amesema tayari BoT imenunua kilo 418 za dhahabu kutoka kwa wachimbaji Wadogo na Wakubwa, ikilenga kuzihifadhi katika mfumo wa fedha za kigeni.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad