Mrembo Afariki Dunia Baada ya Kufanya Upasuaji wa MATITI ili Gauni la Harusi Limpendeze

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mrembo Afariki Dunia Baada ya Kufanya Upasuaji wa MATITI ili Gauni la Harusi Limpendeze

Mrembo Afariki Dunia Baada ya Kufanya Upasuaji wa MATITI ili Gauni la Harusi Limpendeze

Mdada huyo kwa jina la Allesia(21) amefariki dunia baada kufanya sajari ya kuongeza ukubwa wa matiti yake ili kutimiza ndoto yake ya kuolewa akiwa kavaa gauni fupi la harusi likiwa limeachia mwanya au mpasuko mkubwa wa kuvutia katikati ya matiti yake(cleavage)


Allesia kutoka nchini Italy, alifanyiwa sajari tarehe 11 September hii kisha siku hiyo hiyo akaruhusiwa kurudi nyumbani sababu alikuwa akiendelea vizuri. Tarehe 18 hali yake ikabadilika akapelekwa hospitali ba tarehe 20 hali ikawa mbaya zaidi akaaga dunia baada ya tatizo kutokea katika mapafu kuvuruga ogani mbalimbali ikiwemo figo zote kushindwa kufanya kazi, seli hai nyeupe za damu kupatwa na changamoto. alishindwa kupumua vizuri, uchovu mwili kukosa nguvu na memgineyo


Rafiki yake wa karibu akihojiwa amesema, Allesia siku zote alikuwa anaonekana hajikubali alivyoumbwa alihisi matiti yake ni madogo sana hayavutii, alitaka kuyaongeza lakini alimshauri kwamba yapo kawaida hayana tatizo, amesema hata boyfriend wa Allesia hakuwa ameafiki mrembo huyo kufanya sajari ila alikuwa hashauriki na ndoto yake ilikuwa akiolewa na mwanaume wake huyo apendeze kwa kuvaa gauni fupi huku akiwa na matiti makubwa yanayoachia mwanya/mpasuko(cleavage) wa kuvutia yakiwa yamebanwa kwa ustadi na gauni atakalovaa


Familia yake imesema Allesia hakuwa na tatizo la kiafya kabla hivyo kama kilichomuua ni uzembe wa madaktari waliomfanyia sajari, hatua za kisheria zichukuliwe


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad