BREAKING: Magari matatu yagongana Manyoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ajali mbaya imetokea hapa maeneo ya Manyoni Mkoani Singida ikihusisha Magari matatu na Bodaboda moja ambapo watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa.

Mashuhuda wanamesema Basi la Kampuni ya Frester lenye namba za usajili T 194 DZU (Dar es Salaam - Kahama) lilikuwa likijaribu kulipita kwa (Overtake) gari la mafuta namba T 367 BZK na kugongana kwa pembeni na gari la tumbaku namba AFQ 6094 na mwishowe kuwaangukia waliokuwa kwenye Bodaboda.

Dereva wa basi hilo amekimbilia kusikojulikana, Jeshi la Polisi tayari limefika hapa kwa taratibu za kiusalama.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad