Chege akanusha Nature kulipwa laki Tano Shoo ya Wasafi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Chege akanusha Nature kulipwa laki Tano Shoo ya Wasafi

Mwanamuziki Chege amesema Kuwa aliyeandika ile kauli ni Rafiki Wa Juma Nature Na Lengo Likiwa Kumuharibia Juma Nature Kwa Wasafi Sababu Kuna Kazi Nyingi Na Project Nyingi Juma Anazifanya Na Wasafi Ambazo Zitampa Pesa Nyingi.


Pia Chege Amesema Sasa Hivi wanamuhoji huyo Jamaa ili Wajue Ametumwa Na Nani Kufanya Hivyo Na Muda Ukifika Watamuweka hadharani, Chege Amesema anazo Document zote Za Malipo hakuna malipo ya namna hiyo.


Ameongezea Kwa Kusema Thamani Ya Taasisi ya Wasafi haiwezi kumlipa msanii Pesa hiyo Na ndiyo Taasisi inayolipa Pesa nyingi sana Kwa Wasanii Kwenye Show Zake.


Chege anasema watu Wengi wa Karibu Nao Na baadhi Ya watu wa Taasisi zingine Hawajafurahia Kitendo Cha Diamond Kuamua Kuwashika Mkono Wao (Nature, Chege Na Temba) Wanaumia Sababu Ni Pesa Nyingi Sana Ambazo Wanapata Kwenye Project Walioanza Na Wasafi, ameomba Mashabiki Wasimtukane Nature Na Wajue Kuwa Sio Yeye Aliyeandika Kauli ile.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad