Yanga Yaweka Utaratibu Huu Kwa Mashabiki Kwenda Rwanda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Tutakuwa na mabasi rasmi ambao Uongozi wa Young Africans umeendaa. Kila ambaye anahitaji kwenda atahitajika kutoa kiasi cha tsh. 150,000 ikiwa ni nauli ya kwenda na kurudi. Utaratibu wa kula kunywa na kulala kila mtu atajitegemea mwenyewe. Hata hivyo kila mtu atapaswa kuwa na hati ya kusafiria.

Tumepokea jumbe mbalimbali kutoka Rwanda wakitusubiria kwa hamu kubwa. Rwanda nzima inayo kiu kubwa ya kutupokea. Misafara yote itaondoka siku moja. Kwa wale wanaotumia basi wataondoka hapa tarehe 14.09.2023 saa 11 alfajiri, na kwenda kulala Kahama kabla ya kuelekea Rwanda. Kurudi itakuwa tarehe 17 au tunaweza kuongeza siku" @alikamwe


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad