Kuja kwa AFCON East Africa Tuipongeze Simba SC, Zile Hatoki Mtu Kwa Mkapa Zimesaidia Sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuja kwa AFCON East Africa Tuipongeze Simba SC, Zile Hatoki Mtu Kwa Mkapa Zimesaidia Sana

Kuja kwa AFCON East Africa Tuipongeze Simba SC, Zile Hatoki Mtu Kwa Mkapa Zimesaidia Sana

Mchambuzi wa masuala ya uchumi Scanda ameelezea sababu shawishi zilizosaidia kuitangaza Tanzania kiasi cha CAF kushawishika kwenye hii pamoja Bid 2027 kuandaa AFCON.


Mchambuzi huyo amesema katika hilo, Simba wana mchango mkubwa.


“Yote haya yaliyotokea lazima tuipongeze Simba, zile Kwa Mkapa hatoki mtu zimetusaidia sana kututangaza.


“Mbali na hayo Matamasha ya Simba Day na Mwananchi nayo pia yametutangaza sana, CAF wanataka kuona ile atmosphere ya mashabiki kujaa viwanjani, mara zote haya Matamasha mashabiki huwa wanajaa Elfu 40 hadi Elfu 60," alisema.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad