Waziri wa Utamaduni DR. Damas Ndumbaro Ajiuzulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dk. Damas Ndumbaro amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Katika barua yake kwa Rais wa TFF, Mheshimiwa Waziri alisema kutokana na wadhifa wake mpya inamlazimu kujiuzulu wadhifa huo.

Alisema amelazimika kujiuzulu nafasi hiyo ili atekeleze majukumu aliyopewa kwa haki na kuepusha mgongano wa maslahi.

Agosti 30 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alimteua Dk. Ndumbaro kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad