BREAKING: Paul Makonda Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BREAKING: Paul Makonda Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM
Paul Makonda Ateuliwa CCM


BREAKING: Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Anachukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum

Aidha, Rabia Abdallah Hamid ameteuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), amechukua nafasi ya Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Uhusiano wa Afrika Mashariki
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad