Kijana Maarufu Instagram Huko Nigeria Aliyemuua Mpenzi Wake na Kisha Kutoroka Akamatwa Sirrra Leone

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kijana maarufu wa instagram kutokea nchini Nigeria anayetambulika kwa jina la Benjamin Best Nnanyaruego almaarufu #Killaboi anayedaiwa kumuua mpenzi wake #AugustaOnuwabhagbe na kutoroka kukamatwa nchini Sierra Leone.

#Killaboi anadaiwa kubadilisha jina lake na kuwa Kanu Princeton Samuel nchini Sierra Leone, alitumia zaidi ya $25,000 zaidi ya Sh.Milioni 62 kununua kitambulisho kipya na pasipoti ya Sierra Leone.


Kutokana na picha zake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangazwa kuwa anasakwa na polisi wa Nigeria, mtu mmoja katika klabu ya usiku huko Free Town alimtambua jambo ambalo lilimfanya akamatwe.


Kumbuka mnamo Julai 17, habari ziliibuka kuwa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 21 alidaiwa kuchomwa kisu na mpenzi waliokuwa kwenye mahusiano kwa miaka miaka 3.
.
#Killabpi alidaiwa kuuacha mwili wa mrembo huyo nyumbani kwake ukioza kisha kukimbia kusiko julikana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad