PICHA Ajali ya Basi la Alfa na Lori iliyouwa Watu 20 Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Watu 18 wamefariki dunia na wengine 35 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Alfa lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar-es-Salaam kugongana uso kwa uso na Lori la mafuta la kampuni ya GBP katika Kijiji cha Undomo wilayani Nzega - Tabora.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao amesema majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Nzega ambapo miili 17 imehifadhiwa pia.


ACP Abwao amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa lori kulipita basi bila kuchukua tahadhari.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad