Osca Osca "Kocha Gamondi Hamuelewi Kabisa Sure Boy"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Wakati Abubakary Salum anasajiliwa Yanga chini ya Kocha Nasredddine alikuwa miongoni mwa wachezaji wenye mchango mkubwa na hata asipokuwepo Khalid Aucho kulikuwa hakuna shida.


Ujio wa Kocha Miguel Gamondi umeonekana unaanza kumkataa kabisa Salum Abubakari Sure ama kwa jina lingine unaweza kumuita Babu Kaju maana amecheza mechi moja na Asas ya Djibout.


Kwa sasa kuna Jonas Mkude, Zawadi Mauya, Abubakar Salum 'Sure Boy' hawa miongoni mwa wachezaji wazawa ambao wanapaswa kupambana zaidi ili kuweza kupata nafasi ya kucheza.


Gamondi ameonyesha wazi wazi kwamba hamuelewi kiungo Bamia Babu Kaju Salum Abukakary Sure Boy licha ya kuwa kuna wakati alikuwa roho ya mashabiki wa Yanga kipindi cha Nasresddine Nabi

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad