Prophet Malisa: Nilitabiri Janga la Moto Kariakoo, Bila Maombi Wangekufa Wengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prophet Malisa: Nilitabiri Janga la Moto Kariakoo, Bila Maombi Wangekufa Wengi


Kiongozi wa Kanisa la Kingdom Embassy, Nabii Clear Malisa amesema kuwa alitabiri tukio la moto kuteketeza maduka Kariakoo, jambo ambalo limetimia lakini anamshukuru madhara hayakuwa makubwa.


Maafa ya moto huo uliyozuka juzi Jumapili, Oktoba Mosi, 2023 Kariakoo katika eneo la Mnadani Auction Mart na kusababisha majeruhi wa tano akiwemo mtoto mmoja na wengine wanne ambao waliwahishwa hospitalini.


"Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa neno hili na kuniamini niwe sauti ya Hatma katika nchi hii, na pili niwape pole wahanga wa tukio hili la kusikitisha.


"Nachoweza kusema tukio hili ilibidi liwe na maafa makubwa ya watu kupoteza uhai. Ambapo kwa Rehema za Mungu ameepusha kwa kiasi kikubwa na hakuna aliyedhulika hivyo mpaka sasa, na ifahamike hii ni baada ya kuliombea.


"Jambo hili Mungu aliniruhusu niliseme Jumapili iliyopita ya tarehe 24 September 2023, wakati wa Ibada ya pili tukiwa live kupitia Wasafi fm, Wasafi TV na Ebonyfm, na leo (juzi) Oktoba Oktoba 1, 2023 limetimia.


"Sifurahi kwakuwa unabii umetimia nafurahi kwasababu Mungu bado anasema na watu wake hata sasa, wakati wowote Mungu anenapo mwenye hekima husikia na hulifanyia kazi," amesema Prophet Malisa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad