Paul Makonda Atoa Mpya 'Tanzania Hakuna Chama Cha Upinzani, Ina Watoa Taarifa'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




“Tanzania haina Chama Cha Upinzani, Tanzania ina watoa taarifa waliojikusanya katika jina la vyama.

Ukimuona Tundu Lissu anaongea sio chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayoweza kuitoa inawezekana kabisa ikawa imetoka kwenye chanzo mbacho sio cha ukweli au sio cha uhakika lakini kwasababu ni mtoa taarifa.

Kazi ya chama chetu ni kuzisikiliza zile taarifa zao na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tunashughulika na aliyesababisha hizo taarifa kutoka". ~ Paul Makonda, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad