Tanzania Yalaani Vikali Mauaji Palestina na Israel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Tanzania Yalaani Vikali Mauaji Palestina na Israel

Serikali ya Tanzania imeelezwa kusikitishwa na vifo vya watu wasio na hatia kupitia vurugu zinazofanywa na Israel na Palestina na kuwaombea faraja familia za marehemu na majeruhi kupona haraka

Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya nchi, Tanzania inalaani ukatili ambao umefanyika na kutoa wito kwa pande zote kutafuata amani ya kudumu kwa njia ya kweli ya mazungumzo ya pande zinazohasimiana

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad