Zuchu na Diamond Platnumz Walishana Keki Kwa Mdomo Kama Njiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Zuchu na Diamond Platnumz Walishana Keki Kwa Mdomo Kama Njiwa

 Zuchu na Diamond Platnumz Walishana Keki Kwa Mdomo Kama Njiwa

Juzi tu Mama yake na Diamond alionesha upendo Kwa Tanasha ambaye ni Aliyekuwa Mpenzi wa Diamond platnumz, ili Swala aikuwa powa kwa Zuchu kwasababu Ndugu zake na Diamond walionesha kumtenga Flani ivi Baada ya kuona Zuchu anaukaribu sana na Diamond


Sasa Zuchu bila kukataa tamaa Jana Kwenye PARTY ya VIP unaambiwa ivi kwenye kulishana Keki, wamelishana Mdomo Kwa Mdomo tena mbele ya watu wengi uku wakiwemo Ndugu zake na Diamond, viongozi pamoja na Wasanii wenzake.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad