Zuchu Amsifia Diamond, Asema ni Daraja la Mafanikio ya Wasanii Wengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Zuchu Amsifia Diamond, Asema ni Daraja la Mafanikio ya Wasanii Wengi

Nyota wa muziki wa Bongo Diamond Platnumz ametajwa kama nguzo na daraja la muziki wa bongo kwa kukuza wasanii wengi hadi kiwango cha kimataifa.


Mmoja wa wasanii maarufu nchini Tanzania Zuchu ambaye pia wasebasi wamedai ni mpenzi wa Diamond amemlimbikizia sifa Bosi wake wa Wasafi kwa kuwa baraka maishani mwa wengi.


Katika mahojiano ya kipekee na Wasafi FM Zuchu ambaye pia ni mmoja wa wasinii waliosajiliwa na Diamond, alimsifia staa huyo kwa kunoa vipawa chini ya mwavuli wa Wasafi Records ,Wasafi, FM ,na Wasafi Tv.


"Mungu anamtumia Diamond kama daranja la mafanikio kwa wasanii wengi wanaochipuka ndio maana nampenda na siku zote sisi sote wasanii watagazaji na pia madansa tunamheshimu sana ," Alisema Zuchu.


Naseeb Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania, dansa, mhisani na mfanyabiashara mashuhuri.


Ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Lebo ya WCB Wasafi Record, Wasafi Bet na Wasafi Media.


Diamond amepata wafuasi wengi katika Afrika Mashariki ,Akawa msanii wa kwanza barani Afrika kufikisha wafuasi milioni 9 kwenye YouTube.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad