Vurugu Kubwa Yatokea Kati ya Mechi ya Brazil na Argentina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vurugu Kubwa Yatokea Kati ya Mechi ya Brazil na Argentina


Mchezo wa kufuzu kombe la Dunia kati ya Brazil na Argentina ulio pigwa nchini Brazil, Maracana ulichelewa kwa muda baada ya vurugu kuzuka kati ya polisi wa Brazil na mashabiki wa Argentina.


Argentina ikiongozwa na Lionel Messi walirudi ndani kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kusubiri hali kutulia. Ambapo Brazil alipoteza mchezo na kuweka rekodi ya kupoteza mechi ya kwanza kufuzu kombe la Dunia wakiwa nyumbani.


Brazil walikubali kipigo cha bao 1-0 lililofungwa na Otamendi daikika ya 63 ya mchezo, huku Joelinton wa Brazil hakumaliza mchezo baada ya kadi nyekundu dakika ya 82.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad