Walichokifanya Yanga ni Ushamba Mkubwa - Mchambuzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Walichokifanya Yanga ni Ushamba Mkubwa - Mchambuzi

Walichokifanya Yanga ni Ushamba Mkubwa - Mchambuzi

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Ahmad Mkunda amesema kuwa kitendo cha Klabu ya Yanga kuweka bango barabarani kuwazodoa wapinzani wao Simba Sc ni ushamba ambao umepitwa na wakati.

Mkunda amesema hayo baada ya Yanga kuweka bango barabarani linaloonyesha mabao 5-1 waliyowafunga wapinzani wao Simba, Novemba 5, 2023.

"Wanachokifanya Yanga kulipia gharama ya kuweka mabango barabani baada wakinadi ushindi wao wa 5-1 dhidi ya Simba huu ni ushamba. Ni bora waweke nguvu zaidi kujiandaa na Michezo Yao ya Hatua ya makundi ya Klabu Bingwa," amesema Mkunda

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad