Form One Selection 2024, Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano 2024
Mwanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za Serikali nchini mwaka wa masomo 2024.
Angalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza HAPA
Majina hayo yanajumuisha ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda kusoma shule za sekondari za bweni, vipaji maalum na kutwa za Serikali.
Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa, wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga shule za kutwa wanaripoti shuleni ifikapo Januari 8, 2024 huku waliochaguliwa shule za bweni wakitakiwa kuripoti ifikapo Januari 6, 2024.
Waziri huyo amesema hayo leo Jumapili, Desemba 17, 2023, jijini Mwanza alipozungumza na waandishi wa habari.
>>>Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano 2024
What Is Form One Selection 2024 Tanzania?
Form one selection are list of candidates selected to join for different government Secondary schools. It’s only for students that passed in The Primary School Leaving Examination (PSLE) that announced by NECTA. The students Selected are those with pass of grade average from A to C.
ALSO READ: Matokeo Darasa La Saba NECTA 2023/2024 PSLE Results
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA