Mama Ajifungua Watoto Watano kwa Mpigo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Mama Ajifungua Watoto Watano kwa Mpigo

Mwanamke mmoja amebarikiwa na watoto watano warembo ambao alijifungua kwa wakati mmoja na ameshiriki ushuhuda wake kwenye mitandao ya kijamii.


Katika video ya kufurahisha iliyoshirikiwa kwenye TikTok, mwanamke huyo aliyejitambulisha kama @ebyfullmoon alifichua kuwa aliwakaribisha wasichana wawili warembo na wavulana watatu.


Alionekana hospitalini alipokuwa akitembeatembea tayari kukaribisha malaika wake wachanga.


Tumbo lake lililochomoza lilivutia watu mtandaoni, ambao walimsifu kwa kuweza kulibeba kwa miezi tisa.


Alisema: "Nina shukrani na taadhima kuu moyoni mwangu kwako wewe Mungu wangu. Matokeo yalikuwa watoto watano, wavulana watatu na wasichana wawili warembo."

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad