Wanaolewesha Wanawake Kupitia Pombe na Kuwaingilia Kisha Kuwaibiwa Wakamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanaolewesha Wanawake Kupitia Pombe na Kuwaingilia Kisha Kuwaibiwa Wakamatwa


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia operesheni maalum iliyoanza mwezi September, 2023 na inayo endelea katika maeneo mbalimbali Jijini, limewakamata Watuhumiwa mbalimbali wakiwemo Watu wawili (majina yamehifadhiwa kwa sababu za uchunguzi) ambao huwatongoza Wanawake na kuwawekea dawa za kuwalewesha, kisha kuwafanyia udhalilishaji wa kingono ikiwemo kuwapiga picha.


Kamanda wa Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema Watu hao pia huiba simu, laptop na fedha za Wanawake hao na kutishia kuwaua iwapo watasema chochote kinachohusu uhalifu huo.


Watuhumiwa hao wamekamatwa na vitu mbalimbali walivyoiba ikiwa ni pamoja na laptop 10, simu za mkononi za aina mbalimbali zipatazo 305, Televisheni 36, kamera 4, subwoofer 3 na makava ya simu 160 ambapo vitu 33 kati ya vyote vilivyokamatwa tayari vimetambuliwa na Wamiliki wake.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad