Makonda Ataja Chanzo Upungufu wa Umeme

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Makonda ataja chanzo upungufu wa umeme

Dhuluma, tamaa na ubinafsi ni moja ya sababu iyotajwa kusababisha Tanzania kwasasa kukosa nishati ya kutosha ya umeme kwakua baaadhi ya  mikataba iliyoingiwa kipindi cha nyuma na baadhi ya watendaji wa serikali haikua na tija ya muda mrefu yakutatua tatizo hilo nchini



Hayo ni maneno ya Katibu NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda aliyoitoa Handeni Jijini Tanga wakati akisikiliza kero na kutatua changamoto za wananchi ambapo amesema mikataba hiyo mibovu kwasasa ndio inawaumiza wananchinkwakukosa nishati hiyo muhimu kwenye uzalishaji na uwekezaji huku wengine wakiharibikiwa na vifaa vyao kutokana na katizo la umeme la mara kwa mara.


"Ndugu zangu niwaombe kwa kipindi hichi kifupi mtusamehe na mtubumikie jwania Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anapambana kutatua changamoto ya uhaba wa nishati ya umeme kwakua aliookea kijiti kutoka kwa Hayati Dk.John Pombe Magufuli dunia ikiwa kwenye tatizo la maradhi ua ugonjwa wa Ubiko 19 hali ambayo ilisababisha uvhumi wa dunia kuporomoka kajisa na sisi Tanzania ilituadhiri kwa kiasi kikubwa hivyo jiyihada amba,o zimeanza kuchukuliwa ni wazi zitakuja na majawabu yaliyonyooka na kuongeza nishati hiyo nchini ambayo nia kama itakua ni kubwa zaidi na kutisheleza nchi tutaweza kuwauzia nchi zingine tikakazihitaji huduma hiyo kutoka Tanzania", alisema Makonda.


"Kuna baadhi ya watendaji wanapoingia mikataba hawawazi yatakayotokea mbele wao wanawaza hapa walipo ndio chanzo cha taifa kuhangaika kwa sasa kutafuta mbadala wa kupata nishati hiyo ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa viwanda Tanzanja na kuongeza fedha za kigeni, hivyo niwaombe watendaji mnapoingia mikataba mfikirie na maisha ya mbeleni yatakuwaje ili fedha zinazotolewa zifanye kazi iliyokusudiwa na si kuwahangaisha wananchi" amesema Katibu huyo wa  NEC  Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Makonda


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad